Makimbilio Child Care kwakuwa bado hakina uwezo wa kuwahifadhi watoto kituoni hapo, bado wanaishi na walezi majumbani japo malengo ni kuwahifadhi wote kwa pamoja katika kituo.
Hivyo kila Jumamosi watoto wote hukutanika katika kituo kwaajili ya kuzungumza, kujifunza, kupata mirejesho ya huko watokako, kucheza pamoja na kula pamoja.
Zoezi hili la kula pamoja kwa siku ya Jumamosi linaonekana kuwapa furaha watoto hawa, kwani katika siku za wiki watoto wote huwa shuleni.
Mmoja wa walezi wa kituo akionekana kuwahudumia watoto katika siku hii ya kukutana pamoja na kula pamoja.
Kwakuwa kituo bado kichanga na tayari kinawatoto takribani 30 wenye uhitaji mbalimbali hasa kielimu, basi kituo kinawakaribisha wadau/mtu binafsi kutoa msaada wowote ili kuwezesha kituo hiki kuweza kuwahudumia watoto wengi wenye huhitaji.

Picha: Watoto wakipata chakula kama ilivyo kawaida siku ya Jumamosi kukutana pamoja
Reviewed by MAKIMBILIO CHILD CARE
on
September 26, 2017
Rating:
No comments: