Tuwalee watoto wetu malezi yatakayowafaa hata ukubwani

Kila mzazi hupenda kuona mwanae anafanikiwa katika maisha na hata kuwa na familia bora, lakini kuwa na vyote hivyo mzazi au mlezi ananafasi kubwa sana katika maisha ya baadae kwa mtoto.

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, tunawakaribisha wadau kuungana na Makimbilio Child Care katika kuwalea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu, kwani nao wanahitaji kuwa na maisha bora kama watoto wengine.
Tuwalee watoto wetu malezi yatakayowafaa hata ukubwani Tuwalee watoto wetu malezi yatakayowafaa hata ukubwani Reviewed by MAKIMBILIO CHILD CARE on September 26, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.